Meli ya utafiti baharini ya China ya Xuelong 2 yasafiri kupitia mabonge makubwa ya barafu (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 04, 2023
Meli ya utafiti baharini ya China ya Xuelong 2 yasafiri kupitia mabonge makubwa ya barafu
Picha hii ya angani iliyopigwa Desemba 3, 2023 ikionyesha Meli ya utafiti ya kuvunja barafu ya China, Xuelong 2 ikipasua barafu na kufungua njia ya maji kwa ajili ya meli ya mizigo ya Tian Hui. (Picha na Zhu He/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha