Meli ya utafiti baharini ya China ya Xuelong 2 yasafiri kupitia mabonge makubwa ya barafu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 04, 2023
Meli ya utafiti baharini ya China ya Xuelong 2 yasafiri kupitia mabonge makubwa ya barafu
Wataalam wa kituo kipya cha utafiti wa kisayansi katika Bahari ya Ross wakifanya mazoezi ya kukimbia kwenye meli ya utafiti ya kuvunja barafu ya China Xuelong 2, Desemba 3, 2023. Meli ya utafiti ya China, Xuelong 2 na meli ya mizigo iliyoambatana nayo ya Tian Hui sasa zinasafiri majini kupita mabonge makubwa ya barafu. (Xinhua/Zhou Yuan)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha