Watu wakusanya barafu kutoka Mto Songhua huko Harbin, Kaskazini Mashariki mwa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 08, 2023
Watu wakusanya barafu kutoka Mto Songhua huko Harbin, Kaskazini Mashariki mwa China
Picha ya angani ikionesha shughuli ya kukusanya barafu kwenye Mto Songhua mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Desemba 7, 2023.

Michemiraba ya barafu iliyokusanywa kutoka mto huo ulioganda itatumika kwa ajili ya kupamba mji huo. (Xinhua/Zhang Tao)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha