Watu wakusanya barafu kutoka Mto Songhua huko Harbin, Kaskazini Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 08, 2023
Watu wakusanya barafu kutoka Mto Songhua huko Harbin, Kaskazini Mashariki mwa China
Wafanyakazi wakikusanya barafu kutoka Mto Songhua mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China Desemba 7, 2023.

Michemiraba ya barafu iliyokusanywa kutoka mto huo ulioganda itatumika kwa ajili ya kupamba mji huo. (Xinhua/Zhang Tao)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha