

Lugha Nyingine
Kufanya kazi kwenye theluji ili kuhakikisha usalama wa watu (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2023
![]() |
Gari la kuondoa theluji likiondoa theluji kwenye barabara katika Mji wa Jiuquan ulioko Mkoa wa Gansu,China, Desemba 14. |
Maeneo mengi ya China yanaendelea kukumbwa na mvua na theluji kubwa na hali ya hewa yenye baridi kali. Siku ya Alhamisi, Desemb 14, Idara ya Hali ya Hewa ya Taifa ya China ilitoa tahadhari ya rangi ya chungwa kuhusu mawimbi ya baridi kali, tahadhari ya njano kwa theluji na barafu kubwa, na tahadhari ya bluu kwa upepo mkali. Idara husika katika maeneo mbalimbali zimepanga wafanyakazi kuondoa theluji ili kuhakikisha usalama.
(Picha na Jia Peng/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma