

Lugha Nyingine
Kufanya kazi kwenye theluji ili kuhakikisha usalama wa watu (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2023
![]() |
Magari ya kuondoa theluji yakifanya kazi ya kuondoa barafu na theluji kwenye sehemu ya Dangjinshan ya Barabara Kuu ya Kitaifa 215 katika wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wakazakh ya Aksai katika Mji Wa Jiuquan, Mkoa wa Gansu, China, Desemba 14. (Picha na droni) |
Maeneo mengi ya China yanaendelea kukumbwa na mvua na theluji kubwa na hali ya hewa yenye baridi kali. Siku ya Alhamisi, Desemb 14, Idara ya Hali ya Hewa ya Taifa ya China ilitoa tahadhari ya rangi ya chungwa kuhusu mawimbi ya baridi kali, tahadhari ya njano kwa theluji na barafu kubwa, na tahadhari ya bluu kwa upepo mkali. Idara husika katika maeneo mbalimbali zimepanga wafanyakazi kuondoa theluji ili kuhakikisha usalama.
(Picha na Jia Peng/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma