Bustani ya Theluji na Barafu ya Mji wa Harbin nchini China kufunguliwa Desemba 18

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 15, 2023
Bustani ya Theluji na Barafu ya Mji wa Harbin nchini China kufunguliwa Desemba 18
Wafanyakazi wakionekana kwenye eneo la ujenzi wa Bustani ya Theluji na Barafu ya Mji wa Harbin, ambayo ni bustani maarufu duniani ya msimu inayofunguliwa kila majira ya baridi unapowadia, katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Desemba 12, 2023. (Xinhua/Wang Jianwei)

Bustani ya Theluji na Barafu ya Mji wa Harbin, ambayo ni bustani maarufu duniani yenye mandhari ya majira ya baridi itafunguliwa kwa ajili ya msimu wake wa 25 wa majira ya baridi Desemba 18. Inakadiriwa kuwa barafu na theluji zenye mita za ujazo 250,000 zitatumika katika ujenzi wake.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha