

Lugha Nyingine
Reli ya Mwendokasi ya HSR nchini Indonesia yahudumia abiria zaidi ya 700,000 tangu ianze kufanya kazi kibiashara (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 18, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa Desemba 6, 2023 ikionyesha treni ya mwendokasi inayotumia nishati ya umeme (EMU) ikiondoka katika Stesheni ya Tegalluar mjini Bandung, Indonesia. (Xinhua/Xu Qin) |
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni ya PT Kereta Cepat Indonesia-China (KCIC), ambayo ni kampuni ya ubia kati ya kampuni zinazomilikiwa na serikali ya Indonesia na China zilizojenga na kuendesha reli ya mwendo kasi ya Jakarta-Bandung (HSR) nchini Indonesia, reli hiyo ya mwendokasi imeshahudumia abiria zaidi ya 700,000 tangu ilipoanza kufanya kazi rasmi kibiashara Oktoba 17 mwaka huu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma