Uvunaji wa mboga mboga katika Mkoa wa Yunnan, Kusini Magharibi mwa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 19, 2023
Uvunaji wa mboga mboga katika Mkoa wa Yunnan, Kusini Magharibi mwa China
Wanakijiji wakichuma biringanya kwenye kituo cha upandaji wa mboga mboga katika Mji wa Jinghong katika Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China, Desemba 17, 2023. (Picha na Li Yunsheng/Xinhua)

Wakulima na kampuni zinazojihusisha na biashara ya mboga mboga katika Mkoa wa Yunnan, wako katika pilika pilika nyingi za kuvuna mazao ya mboga mboga ili kuyasambaza katika masoko mbalimbali. Mkoa huo wa Yunnan ni kituo muhimu cha kukuza na kusafirisha mboga mboga wakati wa majira ya baridi nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha