Reli ya mwendo wa kasi ya Hangzhou-Nanchang kuanza kufanya kazi kikamilifu Mashariki mwa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 27, 2023
Reli ya mwendo wa kasi ya Hangzhou-Nanchang kuanza kufanya kazi kikamilifu Mashariki mwa China
Picha hii iliyopigwa Desemba 12, 2023 ikionyesha treni ya mwendo kasi ikipita kwenye daraja kuu katika Ziwa Poyang wakati wa majaribio kwenye reli ya mwendo kasi ya Hangzhou-Nanchang katika Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China. (Zhang Mengfei/Xinhua)

Sehemu ya Huangshan hadi Nanchang ya reli hiyo itaanza kufanya kazi kuanzia leo Desemba 27, ikiashiria kuanza kufanya kazi kikamilifu kwa reli ya mwendo kasi ya Hangzhou-Nanchang nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha