Reli ya mwendo wa kasi ya Hangzhou-Nanchang kuanza kufanya kazi kikamilifu Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 27, 2023
Reli ya mwendo wa kasi ya Hangzhou-Nanchang kuanza kufanya kazi kikamilifu Mashariki mwa China
Picha hii iliyopigwa Desemba 26, 2023 ikionyesha Stesheni ya Qimen Kusini ya reli ya mwendo kasi ya Hangzhou-Nanchang katika Wilaya ya Qimen ya Mji wa Huangshan, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xing Guangli)

Sehemu ya Huangshan hadi Nanchang ya reli hiyo itaanza kufanya kazi kuanzia leo Desemba 27, ikiashiria kuanza kufanya kazi kikamilifu kwa reli ya mwendo kasi ya Hangzhou-Nanchang nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha