Bidhaa zenye umbo la Dragoni zapendwa kwenye maduka nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2024
Bidhaa zenye umbo la Dragoni zapendwa kwenye maduka nchini China
Fundi Wang Jie akitengeneza Huamo yenye umbo la Dragoni, au aina ya mkate wa kichina wenye mapambo katika Mji wa Huangshan, Mkoa wa Anhui, China, Januari 19, 2024. (Photo/VCG)

Wakati mwaka mpya wa jadi wa China, ambao ni mwaka unaowakilishwa na mnyama Dragoni kwa kalenda ya jadi ya China unapowadia, mauzo ya bidhaa zinazohusiana na myama Dragoni yanastawi huku kukiwa na shamrashamra ya sikukuu nchini kote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha