Bidhaa zenye umbo la Dragoni zapendwa kwenye maduka nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 24, 2024
Bidhaa zenye umbo la Dragoni zapendwa kwenye maduka nchini China
Mtoto wa kike akiangalia midoli ya dragoni kwenye jengo la maduka mjini Nanchang, Mkoa wa Jiangxi wa China, Januari 21, 2024. (Photo/VCG)

Wakati mwaka mpya wa jadi wa China, ambao ni mwaka unaowakilishwa na mnyama Dragoni kwa kalenda ya jadi ya China unapowadia, mauzo ya bidhaa zinazohusiana na myama Dragoni yanastawi huku kukiwa na shamrashamra ya sikukuu nchini kote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha