Mila na Desturi mbalimbali za mwaka mpya wa jadi wa China zaonekana kwenye mitaa mikongwe ya Quanzhou

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 25, 2024
Mila na Desturi mbalimbali za mwaka mpya wa jadi wa China zaonekana kwenye mitaa mikongwe ya Quanzhou
Wakazi wakinunua bidhaa za mwaka mpya wa jadi wa China kwenye duka lililoko mji mkongwe wa Quanzhou, China.

Mji mkongwe wa Quanzhou ulioko Mkoa wa Fujian, China unamiliki mabaki mengi ya kitamaduni na majengo mengi ya kale yenye thamani kubwa yanayohifadhiwa na kulindwa. Wakazi huko pia wana mila na desturi nyingi za mwaka mpya wa jadi wa China. (Picha na Huang Dongyi/People’s Daily Online)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha