

Lugha Nyingine
Maonesho ya "Kupiga Chuma na Kutoa Fashifashi" yakaribisha mwaka mpya huko Chongqing, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2024
![]() |
Picha ikionesha mfano wa dragoni mrefu ukiviringishwa na watu kwenye fashifashi za chuma. (Picha na Li Xue/Chinanews) |
Usiku wa tarehe 26, Januari, maonesho ya “kupiga chuma na kutoa fashifashi”, ambayo ni urithi wa kiutamaduni usioshikika wa China yalifanyika kwenye mitaa ya Mji wa Chongqing, Katikati ya China, yakivutia wakazi wengi kwenda kuyatazama.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma