

Lugha Nyingine
Maonesho ya "Kupiga Chuma na Kutoa Fashifashi" yakaribisha mwaka mpya huko Chongqing, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2024
![]() |
Picha ikionyesha maonesho ya “Kupiga Chuma na Kutoa Fashifashi” yakiwa yamevutia wakazi wengi kuja kutazama. (Picha na Chen Jiaxin/Chinanews) |
Usiku wa tarehe 26, Januari, maonesho ya “kupiga chuma na kutoa fashifashi”, ambayo ni urithi wa kiutamaduni usioshikika wa China yalifanyika kwenye mitaa ya Mji wa Chongqing, Katikati ya China, yakivutia wakazi wengi kwenda kuyatazama.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma