Lugha Nyingine
Picha: hali ya kupatana kati ya binadamu na mazingira ya asili katika mji wa pwani wa Xiamen, China (10)
Picha iliyopigwa Januari 24, 2024 ikionyesha bustani ya Mikoko katika Eneo la Xiang'an la Xiamen, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan) |
XIAMEN - Tangu miaka ya 1980, Mji wa Pwani wa Xiamen wa Mkoa wa Fujian, Kusini-Mashariki mwa China, haujaacha juhudi zozote za kurejesha hali ya ikolojia katika mji huo. Hadi kufikia sasa, serikali ya Mji wa Xiamen imeanzisha kampeni tano zinazolenga kurejesha hali ya ikolojia ya Ziwa Yundang. Sasa likiwa na bustani sita tofauti, kihalisi, eneo la ziwa hilo limekuwa "kituo cha burudani" kwa wakaazi.
Uzoefu uliopatikana katika mchakato huo baadaye ulianza kutumika katika juhudi kama hizo katika maeneo mengine ya mji huo. Mazingira yaliyoboreshwa yametoa fursa mpya za maendeleo ya uchumi ya mji huo, na kutoa maliasili bora kwa watu.
Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia
Ndege C919 ya China yashiriki mazoezi ya Maonyesho ya Anga ya Singapore
Chuo Kikuu cha Kenyatta chafanya maonyesho ya dragoni wa China ili kukuza mawasiliano ya kitamaduni
Mkoa wa Xizang, China wafungua maeneo ya utalii kwa umma bila tiketi ili kuhimiza utalii
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma