Sikukuu ya Sanyuesan yasherehekewa huko Guangxi, China (10)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 12, 2024
Sikukuu ya Sanyuesan yasherehekewa huko Guangxi, China
Watu wakipiga picha ya pamoja kwenye sherehe ya sikukuu ya “Sanyuesan” huko Nanning, mji mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuang wa Guangxi wa China Aprili 11, 2024. (Xinhua/Zhou Hua)

Watu wa kabila la Wazhuang husherehekea sikukuu ya Sanyuesan katika siku ya tatu ya mwezi wa tatu kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China kwa kuvaa mavazi ya kijadi na kufanya burudani za kijadi. Mwaka huu sikukuu hiyo ya Sanyuesan imesherehekewa Aprili 11. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha