"Ligi Kuu ya Kijiji" ya China yakaribisha timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kigeni wanaosoma China (10)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 15, 2024
Timu ya washangiliaji ya timu ya Tambi za Wali ya Jiangxi wakitumbuiza kwenye mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu katika Wilaya ya Rongjiang, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Aprili 13, 2024. (Xinhua/Tao Liang)

RONGJIANG - Mechi ya soka ya kuvutia macho imefanyika kwenye "Ligi Kuu ya Kijiji" ya China katika Wilaya ya Rongjiang siku ya Jumamosi jioni ambapo Timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kigeni kutoka Chuo Kikuu cha Guizhou imecheza dhidi ya timu ya Tambi za Wali ya Jiangxi kutoka Mji wa Shangrao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha