Mwonekano wa eneo la bidhaa za maisha ya kisasa katika Maonyesho ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China huko Guangzhou, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 18, 2024
Mwonekano wa eneo la bidhaa za maisha ya kisasa katika Maonyesho ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China huko Guangzhou, China
Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Aprili 2024 ikioonyesha banda la Kampuni ya Skyworth kwenye Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China, huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. (Xinhua/Deng Hua)

Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China yamefunguliwa Jumatatu huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. Eneo la bidhaa za maisha ya kisasa la maonyesho hayo limevutia waonyeshaji bidhaa karibu 200 huku likiwa na watembeleaji wengi wa maonyesho. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha