Mwonekano wa eneo la bidhaa za maisha ya kisasa katika Maonyesho ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China huko Guangzhou, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 18, 2024
Mwonekano wa eneo la bidhaa za maisha ya kisasa katika Maonyesho ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China huko Guangzhou, China
Watu wakitembelea eneo la bidhaa za maisha ya kisasa la Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China, huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, Aprili 15, 2024. (Xinhua/Liu Dawei)

Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji Bidhaa ya China yamefunguliwa Jumatatu huko Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China. Eneo la bidhaa za maisha ya kisasa la maonyesho hayo limevutia waonyeshaji bidhaa karibu 200 huku likiwa na watembeleaji wengi wa maonyesho. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha