Eneo la Jiuzhaigou Kusini Magharibi mwa China larejesha ustawi wake baada ya miaka ya ukarabati baada ya tetemeko (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2024
Eneo la Jiuzhaigou Kusini Magharibi mwa China larejesha ustawi wake baada ya miaka ya ukarabati baada ya tetemeko
Pei Xiangjun (Kati) na timu yake wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Chengdu, Mkoa wa Sichuan, Kusini-Magharibi mwa China, Aprili 20, 2024. (Xinhua/Liu Kun)

Bustani ya Kitaifa ya Jiuzhaigou ya China, ambayo ni eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO, maarufu kwa maporomoko yake ya maji ya kuvutia, misitu mirefu na maziwa ya nyanda za juu, ilikumbwa na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.0 kwa kipimo cha richta Agosti 8, 2017. Baada ya tetemeko hilo, timu iliyoongozwa na profesa Pei Xiangjun kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Chengdu ilifanya kazi ya ulinzi na kukarabati mazingira ya eneo hilo la urithi wa mazingira ya asili. Baada ya miaka mingi ya ukarabati baada ya tetemeko, eneo hilo la Jiuzhaigou limepata ustawi wake tena. (Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha