

Lugha Nyingine
Ujenzi wa Mradi wa Daraja la Magufuli la Tanzania waendelea (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2024
![]() |
Picha hii iliyopigwa tarehe 11, Aprili, 2024 ikionesha sehemu ya ujenzi wa Daraja la Magufuli huko Mwanza, Tanzania. (Picha na Hua Hongli/Xinhua) |
Mradi wa Daraja la Magufuli la Ziwa Viktoria unaounganisha maeneo ya Mwanza na Geita nchini Tanzania unajengwa na Shirika la Uhandisi wa Ujenzi la China (CCECC). Daraja kuu litakuwa na urefu wa mita 520, na mradi huo unakadiriwa kukamilika hadi mwishoni mwa mwaka 2024.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma