Ujenzi wa Mradi wa Daraja la Magufuli la Tanzania waendelea (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2024
Ujenzi wa Mradi wa Daraja la Magufuli la Tanzania waendelea
Picha hii iliyopigwa tarehe 2, Mei, 2024 ikionesha sehemu ya ujenzi wa Daraja la Magufuli huko Mwanza, Tanzania. (Picha na Hua Hongli/Xinhua)

Mradi wa Daraja la Magufuli la Ziwa Viktoria unaounganisha maeneo ya Mwanza na Geita nchini Tanzania unajengwa na Shirika la Uhandisi wa Ujenzi la China (CCECC). Daraja kuu litakuwa na urefu wa mita 520, na mradi huo unakadiriwa kukamilika hadi mwishoni mwa mwaka 2024.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha