Eneo Jipya la Xiong'an nchini China lahimiza ujenzi wa elimu wa sifa bora ya juu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2024
Eneo Jipya la Xiong'an nchini China lahimiza ujenzi wa elimu wa sifa bora ya juu
Picha iliyopigwa Mei 21, 2024 ikionyesha mwonekano wa sehemu ya Xiong'an ya Shule ya Msingi ya Shijiahutong na Shule ya Sekondari ya Beijing Nambari 4 katika Eneo Jipya la Xiong'an, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Mu Yu)

Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo Jipya la Xiong'an nchini China limeendelea kuhimiza ujenzi wa elimu wa sifa bora ya juu. Eneo hilo limeanzisha mfumo wa uvumbuzi wa maendeleo ya elimu, limejenga sehemu za elimu kwa vigezo vya juu, na kuingiza rasilimali za elimu ya kitaaluma. Kwa sasa, eneo hilo liimekuwa na shule 717, zenye wanafunzi 235,000 na walimu 20,000. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha