Eneo Jipya la Xiong'an nchini China lahimiza ujenzi wa elimu wa sifa bora ya juu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2024
Eneo Jipya la Xiong'an nchini China lahimiza ujenzi wa elimu wa sifa bora ya juu
Wanafunzi wakishiriki katika shughuli za nje ya darasani kwenye chekechea iliyoko Eneo Jipya la Xiong'an, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Mei 23, 2024. (Xinhua/Mu Yu)

Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo Jipya la Xiong'an nchini China limeendelea kuhimiza ujenzi wa elimu wa sifa bora ya juu. Eneo hilo limeanzisha mfumo wa uvumbuzi wa maendeleo ya elimu, limejenga sehemu za elimu kwa vigezo vya juu, na kuingiza rasilimali za elimu ya kitaaluma. Kwa sasa, eneo hilo liimekuwa na shule 717, zenye wanafunzi 235,000 na walimu 20,000. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha