

Lugha Nyingine
Ujenzi wa Reli ya mwendo kasi ya Harbin-Yichun waendelea katika Mkoa wa Heilongjiang, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2024
Utandazaji wa njia za reli ya mwendokasi ya Harbin-Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China umeanza Jumanne. Njia hiyo ya reli yenye urefu wa kilomita 318 inaunganisha Harbin, Tieli, Yichun, na miji mingine michache, ikiruhusu kupita kwa treni zilizoundwa kuendeshwa kwa kasi ya kilomita 250 kwa saa. Ni reli ya mwendokasi inayojengwa kaskazini zaidi mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma