Ujenzi wa Reli ya mwendo kasi ya Harbin-Yichun waendelea katika Mkoa wa Heilongjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 29, 2024
Ujenzi wa Reli ya mwendo kasi ya Harbin-Yichun waendelea katika Mkoa wa Heilongjiang, China
Picha ya droni ikionyesha eneo la ujenzi wa sehemu ya kutoka Tieli hadi Yichun ya reli ya mwendo kasi ya Harbin-Yichun Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Mei 28, 2024. (Xinhua/Zhang Tao)

Utandazaji wa njia za reli ya mwendokasi ya Harbin-Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China umeanza Jumanne. Njia hiyo ya reli yenye urefu wa kilomita 318 inaunganisha Harbin, Tieli, Yichun, na miji mingine michache, ikiruhusu kupita kwa treni zilizoundwa kuendeshwa kwa kasi ya kilomita 250 kwa saa. Ni reli ya mwendokasi inayojengwa kaskazini zaidi mwa China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha