Mashindano ya Pili ya Ufundi ya Kimataifa ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaanza Chongqing, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
Mashindano ya Pili ya Ufundi ya Kimataifa ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaanza Chongqing, China
Picha iliyopigwa tarehe 24, Juni, 2024 ikionesha nembo ya Mashindano ya Pili ya Kimataifa ya Ufundi ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” mjini Chongqing, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Huang Wei)

Mashindano ya Pili ya Kimataifa ya Ufundi ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yameanza kwenye Kituo cha Maonesho ya Kimataifa cha Chongqing mjini Chongqing, China siku ya Jumatatu, yakivutia washiriki kutoka nchi na maeneo 61.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha