

Lugha Nyingine
Mashindano ya Pili ya Ufundi ya Kimataifa ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaanza Chongqing, China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2024
![]() |
Picha ikionesha mshiriki akiwa kwenye Mashindano ya Pili ya Kimataifa ya Ufundi ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” mjini Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Juni 24, 2024. (Xinhua/Wang Quanchao) |
Mashindano ya Pili ya Kimataifa ya Ufundi ya “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yameanza kwenye Kituo cha Maonesho ya Kimataifa cha Chongqing mjini Chongqing, China siku ya Jumatatu, yakivutia washiriki kutoka nchi na maeneo 61.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma