

Lugha Nyingine
Beri za Goji zaingia Msimu ya Mavuno katika Wilaya ya Tongxin, Mkoa wa Ningxia wa China (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
![]() |
Picha iliyopigwa Tarehe 11 Julai, 2024 ikionyesha sehemu ya kuzalisha beri za goji katika wilaya ya Tongxin ya Mji wa Wuzhong, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia¸ Kaskazini Magharibi mwa China.(Xinhua/Yang Zhisen) |
Wilaya ya Tongxin ya Mji wa Wuzhong, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia¸ Kaskazini Magharibi mwa China inashuhudia msimu wa mavuno kwenye sehemu yake yenye ukubwa wa hekta 3400 za matunda ya beri za goji.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma