Beri za Goji zaingia Msimu ya Mavuno katika Wilaya ya Tongxin, Mkoa wa Ningxia wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
Beri za Goji zaingia Msimu ya Mavuno katika Wilaya ya Tongxin, Mkoa wa Ningxia wa China
Wakulima wakipakia ndani lori beri za goji zilizovunwa kwenye sehemu ya kuzalisha beri za goji katika wilaya ya Tongxin ya Mji wa Wuzhong, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, China, Tarehe 11 Julai, 2024. (Xinhua/Yang Zhisen)

Wilaya ya Tongxin ya Mji wa Wuzhong, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia¸ Kaskazini Magharibi mwa China inashuhudia msimu wa mavuno kwenye sehemu yake yenye ukubwa wa hekta 3400 za matunda ya beri za goji.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha