Ufufuaji wa maeneo ya mijini waleta uhai mpya katika Mji wa Chongqing, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 18, 2024
Ufufuaji wa maeneo ya mijini waleta uhai mpya katika Mji wa Chongqing, China
Picha ya droni iliyopigwa tarehe 15 Julai 2024 ikionyesha Mtaa wa utamaduni na Ubunifu wa Beicang katika Wilaya ya Jiangbei, Chongqing, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Wang Quanchao)

Kupitia juhudi za ufufuaji wa miji katika miaka ya hivi karibuni, mitaa, vitongoji na maeneo mengi ya viwanda ya zamani katika Wilaya ya Jiangbei ya Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China yamewekwa mipango ya kisanii na kibiashara. Ukarabati huo wenye uvumbuzi na uboreshaji unaleta fursa zaidi za biashara ili kutumia kikamilifu uwezo wa maeneo husika, na kuvutia vijana kupata uzoefu, na kuingiza nguvu na hamasa zaidi katika maeneo hayo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha