Daraja Kuu la Tianmen linalojengwa huko Guizhou nchini China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
Daraja Kuu la Tianmen linalojengwa huko Guizhou nchini China
Picha iliyopigwa Tarehe 17 Julai, 2024 ikionyesha daraja kuu la Tianmen linalojengwa Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. Daraja hilo kubwa lenye urefu wa mita 1,553 ni mradi mkubwa kwenye barabara kuu inayounganisha miji ya Anshun na Panzhou huko Guizhou. (Xinhua/Tao Liang)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha