Daraja Kuu la Tianmen linalojengwa huko Guizhou nchini China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
Daraja Kuu la Tianmen linalojengwa huko Guizhou nchini China
Mfanyakazi akifanya kazi katika eneo la ujenzi wa daraja kuu la Tianmen Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Julai 17, 2024. Daraja hilo kuu lenye urefu wa mita 1,553 ni mradi mkubwa kwenye barabara kuu inayounganisha miji ya Anshun na Panzhou huko Guizhou. (Xinhua/Tao Liang)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha