

Lugha Nyingine
Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
![]() |
Nicolas Gestin wa Ufaransa akishindana kwenye fainali kuendesha mtumbwi kwa kasia mtu mmoja mmoja kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 huko Vaires-sur-Marne, Ufaransa, Julai 29, 2024. (Xinhua/Shen Bohan) |
PARIS – Jionee mkusanyiko wetu wa picha zenye kujumuisha washindi mbalimbali wa medali za dhahabu ambao wameonyesha vipaji vyao vya kipekee na ustadi murua wa kimichezo katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024. Hebu tusherehekee mabingwa hawa na mafanikio yao ya kushangaza!
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma