

Lugha Nyingine
Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
![]() |
Horigome Yuto wa Japan akishiriki katika fainali ya mchezo wa kuteleza mitaani kwa kutumia ubao kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 Ufaransa, Julai 29, 2024. (Xinhua/Meng Yongmin) |
PARIS – Jionee mkusanyiko wetu wa picha zenye kujumuisha washindi mbalimbali wa medali za dhahabu ambao wameonyesha vipaji vyao vya kipekee na ustadi murua wa kimichezo katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024. Hebu tusherehekee mabingwa hawa na mafanikio yao ya kushangaza!
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma