Sherehe ya pamoja ya Siku ya Kuzaliwa kwa Panda yajaa furaha tele (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2024
Sherehe ya pamoja ya Siku ya Kuzaliwa kwa Panda yajaa furaha tele
Panda “Qinglu” mwenye umri wa miaka 3 akila mwanzi kwenye sherehe ya pamoja ya siku ya kuzaliwa, tarehe 6, Agosti. (Xinhua/ Wang Quanchao)

Jana Jumanne, Agosti 6, Mbuga ya Wanyama ya Lehe Ledu katika Wilaya ya Yongchuan ya Mji wa Chongqing, China ilifanya sherehe ya pamoja ya siku ya kuzaliwa yenye furaha tele kwa panda mapacha wenye umri wa miaka mitatu “Qinghua” na “Qinglu”, na panda “Qiaoyue” mwenye umri wa miaka 6.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha