Lugha Nyingine
Sherehe ya pamoja ya Siku ya Kuzaliwa kwa Panda yajaa furaha tele (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2024
Panda mapacha “Qinglu” na “Qinghua” wenye umri wa miaka 3 wakisherehekea kwa pamoja sikukuu ya kuzaliwa kwao, tarehe 6, Agosti. (Xinhua/ Wang Quanchao) |
Jana Jumanne, Agosti 6, Mbuga ya Wanyama ya Lehe Ledu katika Wilaya ya Yongchuan ya Mji wa Chongqing, China ilifanya sherehe ya pamoja ya siku ya kuzaliwa yenye furaha tele kwa panda mapacha wenye umri wa miaka mitatu “Qinghua” na “Qinglu”, na panda “Qiaoyue” mwenye umri wa miaka 6.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma