Hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris yafanyika (11)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2024
Hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris yafanyika
Picha iliyopigwa tarehe 11, Agosti ikionesha hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris. Picha na Xu Chang/Xinhua

Hafla ya Kufungwa kwa Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya Joto ilifanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Ufaransa huko Paris tarehe 11, Agosti.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha