Hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris yafanyika (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2024
Hafla ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris yafanyika
Tarehe 11, Agosti, bingwa wa Mbio za Marathon za wanawake Sifan Hassan (katikati) wa Uholanzi, mwanariadha wa Ethiopia aliyeshika nafasi ya pili Tigst Assefa (kushoto) na mwanariadha wa Kenya aliyeshinda nafasi ya tatu Hellen Obiri wakiwa kwenye hafla ya kutunukiwa medali iliyofanyika katika hafla ya kufungwa kwa michezo ya Olimpiki. Picha na Li Ming/Xinhua

Hafla ya Kufungwa kwa Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya Joto ilifanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Ufaransa huko Paris tarehe 11, Agosti.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha