Eneo la kaskazini mashariki mwa China laharakisha maendeleo ya sekta ya nishati safi (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 14, 2024
Eneo la kaskazini mashariki mwa China laharakisha maendeleo ya sekta ya nishati safi
Picha ya droni iliyopigwa tarehe 19 Julai 2024 ikionyesha shamba la kuvuna upepo kwa kuzalisha umeme mjini Tongliao, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China. (Xinhua/Lian Zhen)

Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la kaskazini-mashariki mwa China limekuwa likiharakisha maendeleo ya viwanda vya nishati safi kwa kutilia maanani faida za rasilimali, likiharakisha maendeleo ya uzalishaji wa nishati safi kama vile umeme unaotokana na nishati za upepo, jua na hidrojeni ili kuendeleza ustawi wa eneo hilo la kaskazini mashariki mwa China kwa pande zote. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha