Lugha Nyingine
Eneo la kaskazini mashariki mwa China laharakisha maendeleo ya sekta ya nishati safi (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 14, 2024
Mfanyakazi akikagua vifaa vya kuzalisha hidrojeni katika kampuni ya nishati ya hidrojeni huko Changchun, Mkoa wa Jilin, Kaskazini Mashariki mwa China, Agosti 12, 2024. (Xinhua/Zhang Nan) |
Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la kaskazini-mashariki mwa China limekuwa likiharakisha maendeleo ya viwanda vya nishati safi kwa kutilia maanani faida za rasilimali, likiharakisha maendeleo ya uzalishaji wa nishati safi kama vile umeme unaotokana na nishati za upepo, jua na hidrojeni ili kuendeleza ustawi wa eneo hilo la kaskazini mashariki mwa China kwa pande zote.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma