

Lugha Nyingine
Wachezaji wafanya maandalizi ili kukaribisha kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2024
![]() |
Mchezaji wa China wa kupiga mishale wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris Liu Jing akifanya mazoezi tarehe 24, Agosti. (Picha na Cai Yang/Xinhua) |
Tarehe 24, Agosti, wachezaji wa timu ya China ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris walikwenda kwenye uwanja kufanya maandalizi ya kabla ya michezo rasmi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma