Wachezaji wafanya maandalizi ili kukaribisha kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2024
Wachezaji wafanya maandalizi ili kukaribisha kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris
Wachezaji wa ujumbe wa timu mbalimbali wakifanya mazoezi ya michezo ya kupiga mishale tarehe 24, Agosti kabla ya michezo rasmi. (Picha na Cai Yang/Xinhua)

Tarehe 24, Agosti, wachezaji wa timu ya China ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Paris walikwenda kwenye uwanja kufanya maandalizi ya kabla ya michezo rasmi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha