

Lugha Nyingine
Tamasha la 11 la Maigizo la Wuzhen, China lafunguliwa likiwa na maonesho na shughuli mbalimbali (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
![]() |
Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Oktoba 2024 ikionyesha gwaride kwenye Tamasha la 11 la Maigizo la Wuzhen huko Wuzhen, Mji wa Tongxiang, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xu Yu) |
Tamasha la 11 la Maigizo la Wuzhen limeanza Alhamisi huko Wuzhen, Mji wa Tongxiang, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China likiwa na maonyesho na shughuli mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma