Tamasha la 11 la Maigizo la Wuzhen, China lafunguliwa likiwa na maonesho na shughuli mbalimbali

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Tamasha la 11 la Maigizo la Wuzhen, China lafunguliwa likiwa na maonesho na shughuli mbalimbali
Picha hii iliyopigwa tarehe 17 Oktoba 2024 ikionyesha gwaride kwenye Tamasha la 11 la Maigizo la Wuzhen huko Wuzhen, Mji wa Tongxiang, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xu Yu)

Tamasha la 11 la Maigizo la Wuzhen limeanza Alhamisi huko Wuzhen, Mji wa Tongxiang, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China likiwa na maonyesho na shughuli mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha