Lugha Nyingine
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2024
Mfanyakazi akifanya kazi kwenye kituo cha ushuru wa barabara kuu ya Jianhe-Liping huko Aoshi, Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China, Oktoba 25, 2024. |
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping katika Guizhou, Kusini Magharibi mwa China imefunguliwa kwa matumizi ya umma siku ya Ijumaa, ikifupisha muda wa kusafiri kati ya wilaya za Jianhe na Liping za Mkoa wa Guizhou hadi takriban saa moja. Njia kuu ya barabara hiyo kuu ina urefu wa kilomita 74.754. [Picha/Xinhua]
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma