Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2024
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China
Picha ya droni iliyopigwa Oktoba 25, 2024 ikionyesha sehemu ya barabara kuu ya Jianhe-Liping katika Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China.

Barabara Kuu ya Jianhe-Liping katika Guizhou, Kusini Magharibi mwa China imefunguliwa kwa matumizi ya umma siku ya Ijumaa, ikifupisha muda wa kusafiri kati ya wilaya za Jianhe na Liping za Mkoa wa Guizhou hadi takriban saa moja. Njia kuu ya barabara hiyo kuu ina urefu wa kilomita 74.754. [Picha/Xinhua]

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha