Lugha Nyingine
Sekta ya uvuvi yastawi katika Shamba la Milin mkoani Xizang, China (3)
Shamba la Milin katika Mji wa Nyingchi, Mkoani Xizang, kusini-magharibi mwa China limekuwa likiendeleza shughuli za ufugaji samaki kwenye uwanda wa juu tangu Mwaka 2022 kwa kusaidiwa na Mji wa Zhuhai kusini mwa China.
Shamba hilo limeanzisha eneo maalum la sayansi na teknolojia ya uvuvi wa uwanda wa juu kwa kutegemea hali yake mwafaka ya mazingira ya asili, na limetafuta muundo unaofaa kwa maendeleo ya sekta ya uvuvi ya mkoa huo.
Kuna kilo zaidi ya 50,000 za samaki katika shamba hilo kwa sasa.
Kazi ya utafiti wa kisayansi wa fani mbalimbali yakamilika mkoani Xinjiang, China
Mandhari ya majira ya mpukutiko ya Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, China
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China
Wanariadha wa Ethiopia washinda mbio za Marathon za Amsterdam
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma